Header Ads

KONGAMANO LA UKWATA KWA WANAFUNZI WA VYUO MKOA NI SHINYANGA LAFANYIKA KATIKA CHUO CHA UFUNDI VETA SHINYANGA

Umoja wa wanafunzi wanavyuo UKWATA mkoa wa Shinyanga walifanya kongamano katika chuo cha ufundi VETA SHINYANGA, ujumuisha vyuo mbalimbali vya mkoani Shinyanga ikiwemo chuo cha ualimu Shinyanga (SHYCOM), Chuo cha uuguzi Kolandota Shinyanga, Chuo kikuu cha ushirika Moshi (MoCU) kambi ya Kizumbi Shinyanga na chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Kongamano hilo lilianza siku ya Jumamosi 20/05/2017 na kumalizika siku ya Jumapili 21/05/2017 hapa VETA SHINYANGA, lililolenga kuwaimarisha wanafunzi WANAUKWATA kumjua zaidi Mungu hasa katika kizazi hiki cha sasa kilichojaa kila aina ya uovu

Katika mafundisho yake ya Jumamosi asubuhi, Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA kutoka Dar es salaam  alifundisha 
KICHWA CHA SOMO: JE, UMEJIANDAA KULITUMIKIA KUSUDI LA MUNGU LILILOPO NDANI YAKO KATIKA KIZAZI CHAKO?

Anayetaka kulitumikia kusudi la Mungu, Mungu mwenyewe huweka msukumo mbele yake ili aweze kulitimilza kusudio hilo

Mtu lazima afanye tathimini ya maandalizi ya namna na jinsi ambavyo litatimizwa ndani yake

Mtu lazima  
afahamu atafanya kwa kiwango gani, aone kama anafanya kwa hasara au anafanya kwa faida.

ESTHER 4:12-14
"Basi wakamwambia Modekai maneno ya Esther, naye Modekai............................."
Ukiyatafakari maneno ya Esther, utaona jinsi yaanzungumza vitu viwili
1. kusudi
2. Wakati

Kusudi ni sababu ya uwepo wa kitu. Kwanini kitu flani kipo?
Usipojua sababu ya kuwepo kwa kitu falani ndio kusudi. Maandiko yanamweleza modekai akipokea ujumbe baada ya yeye kupeleka ujumbe kwa Esther aliyekuwa mke wake na mfalme.

 Kulikuwepo na tetesi za kuwaua wayahudi katika nchi ile,lakini alikuwepo ndugu yake na Esther ndipo akapata habari juu ya maangamizo kwa wayahudi na akapeleka habari kwa Esther
Esther anamjibu modekai kuwa ana muda mrefu  hajaonana na mfalme......
SWALI ALILOLIPELEKA MODEKAI ILIKUWA NI ZAIDI YA JIBU ALILOLILETA ESTHER KWAKE........

Esther na modekai walikuwa ni wayahudi, na walikuwa ugenini............
Na Esther alibahatika kuwa na neema ya kuwa mke wa mfalme, kumbe Mungu alimuweka pale kwa kusudio lake....

Siku zote mtu aliyebaba kusudio ndani yake ndiye mwenye kulitimiza.. Wewe mwanafunzi uliyepo VETA SHINYANGA, CHUO KIKUU MOSHI KIZUMBI, SHYCOM NA KOLANDOTO. Je, unafahamu kusudio la wewe kusoma chuo hicho?

Kwanini usiende kusoma chuo tofauti na ulichopo saivi? Tambua kabisa kuwa hilo lilikuwa kusudio la Mungu kukuweka usome chuo hicho unachosoma leo, je kusudio lililopo ndani yako unalifahamu?

Mungu alimbebesha kusudio Esther ndani yake ili wakati ukifika alitimilize, Lengo la kusudio lililokuwa ndani ya Esther ni kuwakomboa wayahudi katika nchi ile. Alipewa nafasi ya kukaa malangoni kwa amfalme ili aje kuwaokoa wayahudi katika chi ile....

Matendo 13.36
"Kwa maaana Daudi akiisha kulitumikia kusudi la Mungu katika kizazi chake alilala........"

Mungu alimbebesha kusudio Daudi na mara alipokwisha kulitimiliza Daudi alilala........ Hivyo hata wewe ukishamaliza kutumikia kusudi la Mungu ndani yako, hata haja ya wewe kuendelea kuwepo pale inapotea .......

Mungu anapompa mtu kitu, anaweka mzigo ndani yake na muda wa kusudio ukifika na lile kusudio likatimilizwa, mtu huyo anajiona mwepesi.

Kusudio linamsukuma mtu kufanya kitu, hata Esther alipoona kusudio linahitaji kutimilizwa aliwaambia wayahudi wote ndani ya nchi ile kufunga na kuomba hii ni kwa sababu muda wa kusudio kutimilizwa ulikuwa umefika.

Matendo 17:26-27
"Mungu aliyeufanya ulimwengu na vyote vilivyomo....................."

Hivyo ni wajibu wako kutafakari na kujua kusudio lililomo ndani yako na ukishafahamu jiulize sasa, Je umejiandaa vipi kulitumikia kusudio hilo na kama kuna tatizo linalokufanya usiweze kulitimiza kusudio hilo..... tubu mbele za Mungu ili Mungu akupe nguvu ya kulitimiza kusudio lake lililopo ndani yako.
Mungu wetu ni mwema sana na hashindwi jambo lolote kwani yeye ni mwaminifu na wa haki. Yesu Kristo alitufia msalabani ili kutupa nguvu ya kuyashinda yaliyo magumu katika maisha yetu na kuweza kusimama katika kusudio lake

MAFUNDISHO HAYA YALIENDELEA JUMAMOSI JIONI SOMO LIKIWA NI LILEILE.....BONYEZA HAPA CHINI UYASIKILIZE>>>>


MAFUNDISHO HAYA YALIENDELEA JUMAPILI ASUBUHI SOMO LIKIWA NI LILEILE.....BONYEZA HAPA CHINI UYASIKILIZE>>>>>


MAFUNDISHO HAYA YALIENDELEA JUMAPILI JIONI SOMO LIKIWA NI LILEILE.....BONYEZA HAPA CHINI UYASIKILIZE>>>>



Hizi hapa chini ni picha za matukio yote kwa siku zote mbili

 Mchungaji Matabuka akiwa ukumbini meza kuu akingoja kongamano lianze
Ibada ya kusifu ilipoanza
Huyu dada aliimba mpaka kila mmoja akaitikia "YESU NI BWANA"
FIVE wakiimba 
Siva zilivuma ipasavyo
Wanavyuo wakiendelea kumsifu Mungu
Sifa iliyopigwa kwenye kongamano hilo haielezeki kirahisi....angalia mwenyewe
Furaha yao kubwa ilikuwa ni kumwimbia Mungu
Mwimbaji akiwa anaimbisha wimbo wa kumsifu Mungu
Walimwimbia Mungu kwa shangwe kubwa, wakicheza na kurukaruka
Wakati wa kusifu wengine ilibidi wapande juu ya mkuyu
Muda wa kuabudu ulipofika
Walizama katika ibada ya kumwabudu Mungu
Uwepo wa Mungu ukiendelea kushuka
Walimwita Mungu Mungu katika kumwabudu
Kila mmoja alimwabudu Mungu kwa njia yake

Kumwabudu Mungu kuliendelea
Kila mmoja alimwita Mungu
Wakiendelea kumwabudu
Kumwabudu Mungu ni kuita uwepo wake ushuke ili ahudumie watu wake
Watu wakiwa wamezama katika kumwabudu Mungu
Muda wa kuabudu ulipofika, Reubeni mpiga kinanda wa kongamano hilo alishusha uwepo wa Bwana
Mungu alishuka na kuhudumia watu wake
Muda wa kusifu ulipofika tena, watu walisimama na kumsifu Mungu aliye hai
Sifa ni sifa tu,ikipigwa kila mmoja hujisikia amani na furaha ndani ya moyo wake.....ndivyo ilivyokuwa katika kongamano hilo
Meza kuu wakifuatilia kwa makini zaidi jambo fulani lililokuwa likitendeka kwa wakati huo
Kwaya kutoka Chuo Cha Ushirika Moshi Kizumbi(MoCU) wakimwibia Mungu

Meza kuu wakimsikiliza mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga, Elisha Pembese
Mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga Elisha Pembese akiwasalimia wanavyuo wakati wa kongamano
Mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga Elisha Pembese akitoa maelekezo flani ndani ya ukumbi
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA akiomba
Wanafunzi wa vyuo wakiomba 
Praise & worship team wakiomba
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA akiomba baada ya mafundisho siku ya kwanza
Mwenyekiti msaidizi UKWATA tawi la VETA akitoa maelekezo flani
Bwana Rodgers Willson aliposimama kufundisha somo la saikolojia kwa WANAUKWATA wote
Mchungaji Matabuka aliposimama kusema jambo ndani ya ukumbi kwenye kongamano hilo
Ndipo ibada ya kusifu na kuabudu ilipoanza
Mfumo wa kusifu ulikua kutoka hatua moja hadi nyingine
Watu walisifu haijawahi tokea
Wakiendelea kusifu
Sifa ikiwa imepamba moto
Shangwe zilitawala
Hakuna aliyebaki nyuma kwenye kusifu
Kusifu kulipamba moto
Kila mmoja kwa nafasi yake
Kinanda kilivuma
Nyimbo zikaimbwa
Nderemo kila kona
Mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa akiimba
Mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa akiimba
Waimbaji wa kwenye maiki
Haya sasa twende!!! Kama kumchezea Mungu, watu walicheza kwa namna tofauti tofauti

Kusifu kukiendelea
Waliruka wakimwimbia Bwana
Wakiendelea kusifu
Kila mmoja na fomula yake
Wakimsifu Mungu kwa kuimba na kucheza
Wakiendelea kusifu
Palifana sana
"Zambe wa moyoo!!!"
Wanaukwata wakicheza
Kila mmoja akimsifu Mungu
Kila mwenye pumzi alimsifu Bwana
Kucheza kwa Yesu kuna raha bhanaa!!
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho siku ya pili
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho siku ya pili
Mwalimu wa kongamano hilo ABEL MOLA aliposimama kwa ajili ya mafundisho siku ya pili
Mwalimu ABEL MOLA akifundisha
Muda ulipofika wa mafundisho ya neno la Mungu
Wakati wa maandalizi ya mafundisho ya neno la Mungu
Mtunza hazina wa wilaya UKWATA(kushoto) Bi. Elizabeth Alphonce Shija na kiongozi UKWATA tawi la Kizumbi wakifuatilia kwa makini mafundisho ya Mwalimu ABEL MOLA
Wanavyuo wakifuatilia kwa makini alichokuwa akifundisha mwalimu
Washiriki wa semina hiyo wanafunzi wa vyuo wakisikiliza maelekezo ya mwalimu wa semina hiyo
Praise & worship Team
Praise & worship Team
Praise & worship Team wakifuatilia maelekezo ya mwalimu wa semina
Praise & worship Team wakiwa tayari kwa kuimba
Praise & worship Team wakiabudu
Akiwa amezama katika maombi, akiomba mbele za Mungu aliye hai
Mwenyekiti wa UKWATA mkoa wa Shinyanga akiomba mbele za Mungu
Wakati wa kuomba kila mmoja aliomba
Maombi yakiendelea
Kila mmoja alimuomba Mungu
Watu wakiendelea kuvunja ngome
Maombi yakiendelea
Ulikuwa wakati wa kila mmoja kumweleza Mungu haja za moyo wake
Maombi ilikuwa ni kwa kila mmoja
Kupitia maombi yale watu waliiona nguvu ya Mungu ikishuka katikati yao
Jina la Bwana lilitajwa, likiitwa kushuka na kuwahudumia watu wake
Neema ya Mungu ilionekana kwao waliopata muda wa kuliita jina la Bwana
Hakuna aliyebaki nyuma katika suala zima la kumwomba Mungu
Mungu ni mwema kwao wamwitao
Watu walimlilia Mungu
Naye Mungu alisikia kilio cha watoto wake
Katibu mstaafu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga akiomba mbele za Mungu
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa kila mmoja
Maombi yakiendelea
Maombi yakiendelea
Hivi ndivo ilivyokuwa
Maombi yakiendelea
Unapohitaji kuongea, ni muhimu sana kuimba kwanza..maana Mungu wetu hukaa katika sifa ndicho kilichotokea katika kongamano hilo
Watu waliimba na kuomba mbele za Mungu
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Praise & worship Team wakiita uwepo wa Mungu kwa kumwabudu kupitia nyimbo
Mungu ni mwaminifu na wa haki kwao wamwitao
Wengine walipiga magoti mbele zake
Wakimwomba Mungu kila mmoja kwa namna yake
Ilikuwa ni siku ya baraka sana
Lilikuwa kongamano la kipekee sana kwa wanafunzi wa vyuoni UKWATA
Mtumishi wa Mungu Rodgers Willson akitoa maelekezo juu ya jambo flani 
Mtumishi wa Mungu Rodgers Willson akitoa maelekezo juu ya jambo flani 
Ilikuwa ni vigumu kuizuia nguvu ya Mungu iliposhuka kwa watu wake 
MC wa kongamano hilo ndugu Nelson, ambae pia ni katibu UKWATA wilaya ya Shinyanga
Mwenyekiti mstaafu Elisha Pembese akielekeza jambo
Sehemu kubwa ya kongamano hili ilikuwa ni kufundishwa neno la Mungu, kuomba na kumsifu Mungu kwa njia ya uimbaji na hapa uimbaji ukiwa ONLINE!
Wakiendelea kuimba
Sifa za Mungu zilihubiriwa
Wimbo wa sifa ukipigwa 
Ulifika wakati wa kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa

Mwalimu Kihundo, mlezi wa UKWATA Mkoa wa Shinyanga ndg. akishiriki katika kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa
Shughuli ya kuimalisha mfuko wa UKWATA mkoa ikiendelea
Mwalimu wa kongamano hilo Abel Mola akishiriki katika kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa wa Shinyanga
Ndugu Rodgers Willson, aliyeambatana na mwalimu wa kongamano hilo kutoka Dar es Salaam akishiriki katika tukio la kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa wa Shinyanga
Mwenyekiti wa UKWATA mkoa wa Shinyanga Bw. Wambura Saira akishiriki katika tukio la kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa wa Shinyanga
Katibu mstaafu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga naye akishiriki kuimarisha mfuko wa UKWATA 
Shughuli ya kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa ikiendelea kwa njia ya mnada wa vitu mbalimbali
Akishiriki kuchangia kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa
Katibu mkuu wa UKWATA mkoa wa Shinyanga Bi.Mercy Stanley Temba akishiriki kuimarisha mfuko 
Mnada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha mfuko wa UKWATA mkoa, ukiendelea
Mpiga kinanda na mwongoza sifa Reuben akimsifu Mungu
Mpiga kinanda na mwongoza sifa Reuben akimsifu Mungu
Praise & worship Team wakimsifu Mungu kwa nyimbo
Praise & worship Team wakimsifu Mungu kwa nyimbo

Praise & worship Team wakimsifu Mungu kwa nyimbo
Mwenyekiti wa UKWATA mkoa wa Shinyanga akijitambulisha na kusema maneno machache mbele ya washiriki wa kongamano hilo
Mwenyekiti mstaafu wa UKWATA mkoa Elisha Pembese akitambulisha watu mbalimbali ndani ya ukumbi 
Mtunza hazina wa UKWATA wilaya ya Shinyanga mjini Bi. Elizabeth Alphonce Shija akiongea maneno machache wakati wa utambulisho
Mtunza hazina wa UKWATA wilaya ya Shinyanga mjini Bi. Elizabeth Alphonce Shija akiongea maneno machache wakati wa utambulisho
Katibu mkuu UKWATA wilaya na MC wa kongam,ano hilo Bw. Nelson
Mwenyekiti wa UKWATA wilaya Bw. Paschal Lazaro akiongea machache wakati wa utambulisho
Katibu mkuu UKWATA wilaya na MC wa kongamano hilo Bw. Nelson Mfumya
Katibu mkuu UKWATA wilaya na MC wa kongamano hilo Bw. Nelson Mfumya
Mwenyekiti mstaafu mkoa 2015 Bw. Brighton Kataiwa akiongea machache wakati wa utambulisho
Katibu mstaafu mkoa Bi. Rose Brighton akiongea machache wakati wa utambulisho
Katibu mstaafu mkoa Bi. Rose Brighton akiongea machache wakati wa utambulisho
Mwenyekiti mstaafu na mwasisi wa UKWATA mkoa wa Shinyanga

No comments

Powered by Blogger.